Frank Shedrack
Member
- Aug 29, 2012
- 47
- 28
habari wanajamii.
mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa chuo kikuu cha kumbukumbu cha sebastian
kolowa memorial university (SEKOMU), nasoma bachelor of science in Eco-tourism and
Nature Conservation, nimespecialize in natureresource conservation.
naomba msaada wa kituo cha kufanyia field especially mkoa wa Dar-es-salaam.
naweza kufanyia field taasisi za mazingira, utalii na maliasili.
field itaanza mwezi wa 7 tar 27 hadi tarehe 18 mwezi wa 9.
Frank Shedrack
email- fshedrack@rocketmail.com
namba ya simu- 0688 92 37 35
thanks in advance.