Ombi la Field Training Practical

Joined
Aug 29, 2012
Posts
47
Reaction score
28
habari wanajamii.

mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa chuo kikuu cha kumbukumbu cha sebastian

kolowa memorial university (SEKOMU), nasoma bachelor of science in Eco-tourism and

Nature Conservation, nimespecialize in natureresource conservation.

naomba msaada wa kituo cha kufanyia field especially mkoa wa Dar-es-salaam.

naweza kufanyia field taasisi za mazingira, utalii na maliasili.

field itaanza mwezi wa 7 tar 27 hadi tarehe 18 mwezi wa 9.

Frank Shedrack
email- fshedrack@rocketmail.com
namba ya simu- 0688 92 37 35

thanks in advance.
 
NEMC at least ndo wanaweza wakawa na field yako kwa environment
 
Tuache mizaha na utoto kwenye masuala serious kama hili. we unacoment pumba hapa alafu unajiita msomi? mwenzako kaomba nafasi ya kufanya field kwan huko aliko hajaona misitu hadi we umtajie? acha utoto bwana. Ndugu Frank hebu checki na hawa jamaa hapa chini. ni international NGO inayohusika na maswala ya misitu na mazingira. ofisi zao ziko Mikocheni nyuma ya Chuo cha Kairuki[h=4]
Laura George
[/h]Communications Manager
WWF Tanzania,
Dar es Salaam

[COLOR=#00AFFD !important]
+255222775346
[/COLOR]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…