Ombi la Kibarua – Niko Tayari Kufanya Kazi

Baba AY

New Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
3
Reaction score
7
NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU

Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu.

Nina uwezo wa kufanya kazi kama:
✔ Kazi za ujenzi (kama vibarua wa site)
✔ Kazi za kufunga mizigo au upakiaji
✔ Msaidizi wa dukani au mzigo mwingine wowote wa nguvu
✔ Matumizi sahihi ya kompyuta
✔ Au kazi nyingine yoyote halali inayoweza kunisaidia kupata kipato

Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, kwa uaminifu, na kwa kujituma. Naomba yeyote mwenye fursa yoyote anisaidie kwa kunipatia kazi au kunielekeza mahali naweza kupata nafasi.

Nawashukuru sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

#NatafutaKibarua #NikoTayariKufanyaKazi #Tusaidiane
 
Dah,,, Pole! Hivi ni lazima kuwa na familia na unajijua financially haujakaa sawa(huna uwezo wa kuihudumia ?) Najaribu kufikiria sana,,,, ama kuoa ni fashion? Ama ni kelele kutoka kwenye familia ?
 
Kiherehere tu Mkuu ndo kimefanya nioe.

Haya nisaidie ndugu yako
 
Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu.

Nina uwezo wa kufanya kazi kama:
✔ Kazi za ujenzi (kama vibarua wa site)
✔ Kazi za kufunga mizigo au upakiaji
✔ Msaidizi wa dukani au mzigo mwingine wowote wa nguvu
✔ Matumizi sahihi ya kompyuta
✔ Au kazi nyingine yoyote halali inayoweza kunisaidia kupata kipato

Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, kwa uaminifu, na kwa kujituma. Naomba yeyote mwenye fursa yoyote anisaidie kwa kunipatia kazi au kunielekeza mahali naweza kupata nafasi.

Nawashukuru sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.

#NatafutaKibarua #NikoTayariKufanyaKazi #Tusaidiane

Mkuu siwajui ila Kuna naomba Yao Hawa jamaa unaweza watafuta kupata utaratibu zaidi ni kampuni ya Ulinzi
 
Attachments

  • IMG-20250210-WA0001.jpg
    IMG-20250210-WA0001.jpg
    359.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom