Naomba kabisa kwa upendo wa Mungu i na kwa imani uniwekee hapa SALA YA KUKEMEA MAPEPO (MAJINI MAHABA) nimegundua ninasumbuliwa sana na haya mapepo, Itakuwa vema nawe unapokuwa kwenye maombi yako nami niwe mmoja wao. Asante
haha hapa bana ninarafiki yangu mmoja alikuwa na hayo madubwasha yani yeye akiongea na mwanamke tu hata kwenye simu amemaliza kazi, ukimwacha na binti basi binti anakuja tu kujikuta akivaa nguo ya ndani, watu bana..