Tafadhali kama kuna mtu anayefahamu namba za simu za bodi ya mkopo zinazopatikana maana natumia zlizopo kwenye internet hazipatikani na muda wa kujaza form za kuappeal unaisha .
Hata ucjsumbue kupoteza muda wako kwa kuappeal mkuu,huwezi fanikiwa..tumeona mifano kwa watu wetu wa karibu,pamoja na kuambatanisha nyaraka zote lakini majibu yalikua ''appeal rejected"