Ombi la mapokezi mimi nikiwa kama mgeni kwenu

Ombi la mapokezi mimi nikiwa kama mgeni kwenu

mhina ntwina aya

New Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2
Reaction score
1
Kiukweli app hii kwa mara ya kwanza nili ifuta baada ya kuna haina faida katika simu yangu, lakini sikujua kumbe inafaida kiasi hiki kwa sasa nimeamua kujiunga lasmi kwa moyo wangu bila kushawishiwa na mtu, natumaini ombi langu lita kubaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom