Kiukweli app hii kwa mara ya kwanza nili ifuta baada ya kuna haina faida katika simu yangu, lakini sikujua kumbe inafaida kiasi hiki kwa sasa nimeamua kujiunga lasmi kwa moyo wangu bila kushawishiwa na mtu, natumaini ombi langu lita kubaliwa
Unataka ombi lako likubaliwe ili, huku hakuna vibali ndugu, humu ukishakua mwanachama na kadi yako mkononi unaanza mikutano ya hadhara bila mipaka wala ukomo