snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Wadau nimekuwa nikifikiria sana kuhusu majaribio yanayofanywa kwenye jua na mwezi.
Hivi karibuni ndugu zetu India japo Wana matabaka makubwa sana ya matajiri na maskini lakini wameweza kufika kwenye mwezi Tena kwenye darkside of the moon ambako hakuna inchi umewahi fika.
Media hasa za uingereza wamekasirishwa sana kwasabu Kuna misaada wanatoa India na wao hawajawahi fika kwenye mwezi, wengine wamefikia Hatua ya kutaka pesa walizoipa India zirudishwe, ni chuki tu zidi ya advancement in technology.
Lakini turudi kwenye mada, majaribio yanayofanywa kwenye vitu muhimu kama jua na mwezi vipi endapo yakaathiri kabisa uwepo wa mwezi na jua ? Means tutakosa photosynthesis ili mazao ya stawi.
Project A119 ilifanywa na marekani ili tu kujaribu bomu la nyukria kwenye mwezi, vipi kama wangefanikiwa na mwezi tusingekuwa nao ? Manake usiku kungekuwa na giza.
Hivi sasa marekani kajaribu kufika kwenye jua na wanavyodai wameligusa jua, sasa vipi kama jua likaripuka au kuathiriwa?
Hivyo naiomba serikali itumie nafasi yake kuzuia majaribio wanayofanya Hawa watu kwenye vitu muhimu kama jua na mwezi, sio kwasabu hatujawa advanced in technology lakini jua au mwezi sio vya kwao, ni vyetu sote.