sitaki hela
Member
- Oct 10, 2022
- 93
- 117
Kama kichwa kinavyojieleza, Leo mwanangu amenipa taarifa kuwa shule yao,yaan Ubungo Nhc msingi inabadilishwa na kuwa mchepuo wa kingereza
Nikapata mshituko kidogo, ikabidi nifanye uchunguzi nikagundua ni kweli, nikajiuliza maswali mbona jambo kama Hilo sisi wazazi hatukushirikishwa?
Shule alikuwa anasoma jirani nayo ilibadilishwa ndio akahamia Ubungo NHC, si jambo la busara hata kidogo kuanza kutupa wakati mgumu Kwan sisi wengine, tuliipenda shule hiyo kutokana na ufundishaji mzuri, tunajua ni siasa, je Miundombinu imeandaliwa kwa ajili ya medium?
Tunaomba hilo wazo mlitafakari upya.