Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

Ikimpendeza mwenye mamlaka basi atakua.... ila kwangu mimi Zito na zile habari za kutuzunguka watanzania kufikia kuandika barua world bank ili tukose pesa ya elimu nasema HAPANA
 
Jina tayari lipo mezani..umeliona ndio unaandika hapa.
Mayala nyota yako uliacha pale Arusha.
 
.
.
Ikimpendeza mwenye mamlaka basi atakua.... ila kwangu mimi Zito na zile habari za kutuzunguka watanzania kufikia kuandika barua world bank bila ili tukose pesa ya elimu nasema HAPANA
Sawa....

Ila kawezesha SUK....na mh.Seif Sharrif atafanya sana TOUR kwa partners wetu EU,US na UINGEREZA...🤣

Changamoto zote zitakwisha....
Sijui kama Komredi TUNDU LISSU huko aliko ana habari ya kwamba balozi wa US ameyasifia mafanikio ya SUK...?!!🤣
 
Nafikiri wakuteuwe wewe, sababu unahangaika sana, kama atakae kutaga, wamteuwe wakati walimwibia kura, hawakufikiri upinzani unahitajika bungeni, ndio maana wanaforce Covid-19!
 
Heri hiyo nafasi apewe Profesa Lpumba
 
Huyu jamaa mwenye kichwa kama tikiti anahangaika kweli kweli, wamesha mpotezea ila yumo tu anajitutumua
 
Kukubali vyeo vya hisani ni fedheha kwa mtu km zzk! Km mlitambua umuhimu wake kwann mlimchezea rafu kwenye uchaguzi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…