Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!


Hii ni post ya mtu ambaye hapo awali niliamini ni mwanaume wa kweli. Kwa sasa nimegundua sikuwa na uwezo sahihi wa kupima ukweli.
 
Huyu Pascal ni mjinga hajui achane nae,misimamo aliyokuwa nayo magufuli ndio imemfanya Leo hii awe Rais.mtu asiyeeleweka kimusimamo ni sawa na mfu.
 

Mzalendo kwa tafsiri ya awamu ya tano ni kuwa "two in one"!
 
Kaka Paskali, naomba nikuulize...
Mbunge anayeteuliwa na rais, huwa anatambulika kama mpinzani?
 
Yaani kuna wakati nashindwa kuelewa nini kipimo cha uzalendo...!!!
 
MAYALA MAANA YAKE NJAA.

,Jiwe alisema.

"Mimi ukinishauri ndio umeharibu kabisa maana sitofanya unacho nishauri"

"MIMI SIPANGIWI"
JIWE.
 
Pascal Njaa anachekesha kweli baada ya kuwalambisha mlungula ndio umetumwa kuja kupima upepo , waambie waliokutuma upepo umejaa .
 
Wewe Pasikali ulisema huyu Heavy ni mpinzani asie mzalendo baada ya kutuwekea kiwingu kule IMF/WB na fedha za wanafunzi wajawazito
 
Kulikuwa na haja gani sasa ya uchaguzi Kama Kura kwa masanduku ziliingizwa kwenye vituo zikiwa tayari zimepigwa kwa ccm pia na kuvuruga kabisa mchakato ili chadema wasishinde kwa nguvu zote za dola licha ya wananchi kukipigia Kura kwa mamilion halafu eti lengo mmteue zitto? Jamaa wewe siku hizi huna akili kabisaa. Sijui ukabila unakutafuna huoni wizi wa ccm kabisaa kila kitu kwako we ni halali
 
sifa kuu ya Waha mashemeji zangu hawaa ni kupenda vyeoo
unaambiwa Muha mnyime vyooote lakini sio cheoo
na ndo mana wako tayari kukufanyia unafik ukuda umbea na yoote mabaya kisa Cheo tuu
haijalishi kiwe na malipo au bila malipooo
 
Tatizo la Mh. Zitto ni usaliti, sidhani kama anaaminika kihivyo. Nadhani kuna wapinzani wengi tu ambao ni wazalendo. Zitto kushirikiana na watu wa mataifa kama the economist etc kwa ajili ya kutaka kuiona Tanzania inaingia kwenye migogoro mikubwa na au vita nadhani imemuondolea kabisa uhalali wa kuwa mtanzania. Zitto ataendelea kubaki kuwa kibaraka.
 
Mkuu Mayalla aka Njaa kujaribu kuwaaminisha waTz kuwa hakuna mtu mwingine nje ya Zitto awezaye kuongoza PAC ni dharaua kubwa kama wale wajinga wengine wanaodai jiwe aongezewe muda wa kutawala.
 
Zito hana uzalendo wowote ila ni.maji yamemfika shingoni,
Huyu zito ndo kila siku anaiandika tanzania kwenye magazeti huko nje vibaya na serikari, bado huyu zito ndo mchongeaji wa nchi isipate misaada, sasa uzalendo wake upo wapi?
Pascal achana nae huyo, kwani ni nyoka mweusi ndani ya nyumba.
Hafai kuwa hata barozi, ni mtu wa kutumika, ukiwa na pesa yupo upande wako ukimtenga anakushambulia.
 
Siungi mkono hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…