Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

Umegusa penyewe. Zitto anatumiwa na Economist na Kanendera kuichafua Tanzania,mnafiki sana huyu jamaa.
 
Hahaha alipokuwa mbunge mlifanya juu chini hata kwenye kamati mumtoe, Haeshi akaongoza peke yake, leo mnamuhitaji Zitto!?

Ccm sijui wana amnesia au ni wajinga wa kuzaliwa, hahaha.
 
"kitendo cha Chadema kupata wabunge 20, halafu chama kinawafuta uanachama ili wafutwe ubunge ni uthibitisho wa watu wasiojitambua"

Mkuu Paskali, kwa kunukuu tu kipande kidogo hapo juu kilichopo ktk mada yako, inanifanya kuhisi kuwa upo "biased" na kukwepa kuzungumzia uhalisia wa uendeshaji michakato ndani ya vyama vya upinzani.

Mchakato wowote ule, yaani "process" unapitia ktk hatua tatu muhimu, yaani "input, throughput and output". CDM kupitia KK yake wanakiri hadharani kuwa hawajawahi kuendelea mchakato wowote ule uliopekea kupata hizo "output" zinazopigiwa debe na makada wa CCM ikiwemo wewe.

Sasa kabla ya kukurupuka na kuanza kuishutumu CDM, ebu wana CCM jaribuni kuwa wakweli kuhusu uhalali mchakato uliotumika kuwapata COVID-19.

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mkwamisha maendeleo,naa mini ni wewe ni mzalendoo zaidi
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuoga rasmi.
Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x 3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Kupitia fumbo la kifo Mungu ametuweza sana,nawafikiria waliokua wanapiga kampeni za kutaka aongezewe muda [emoji29] .
 
Mnafiki na msaka tonge umerudi tena kivingine! Pamoja na kujipendekeza kote kule mbona hujateuliwa??
Uje huku mwanampotevu karudi, 😅 😅

Teuzi yawezekana zitaanza!
Wasaka tonge tutawashuhudia sasa upya!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Leo ni HBD ya huyu mwamba.
HBD ZZK.
P
 
Maadam Mama Samia amempokea Magufuli na hii kazi haikukamilika.

Kitendo alichokifanya jana Zitto, ni udhibitisho wa uzalendo wa mtu huyu, hivyo namuomba rais Mama Samia, atukamilishie hili, angalau tuingize kichwa kimoja cha maana Bungeni, vinginevyo kama na mama anapenda Bunge lenye opposition mlenda mlenda!.
P
 

ngoja waje wale jamaa magenius aka reggae boys..
 
Nime note Zitto anatajwa tajwa sana humu jukwaani, nikaona na mimi nijikumbushe niliwahi kuandika nini kumhusu mtu huyu.
All and all, huyu Zitto sio mtu wa mchezo mchezo, he is a man to watch very closely!, sio mtu wa kawaida!.
Pendekezo hili sasa nalihamishia kwa Mama Samia.
P
 
Sawa P mpigie debe Mzito Kabwela kwani pia anaweza kumpigia P debe pia mabadilliko bado yapo na nafasi bado zipo,ni kuongeza bidii ya kupiga debe TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…