4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Tulia watu wamevurugwa wewe!
Jamaa kavurugwa na serekali ya jiwe!
Mkuu wangu unajua tumechoka hasa tusio na mavyamaMuda hautoshi ,mnakumbuka shuka wakati kumekucha 4 7mbatizaji,
Mkuu wangu unajua tumechoka hasa tusio na mavyama
Hacha izo Mkuu mazalau sio mazuri but all in all point nimeipata toka kwako mkuuwajameni naomba tumsamehee bure kijana ..inaonekana bado ni mgeni na humu tangu ajiunge ana kama miezi 2 na siku kadhaa...so bado anajifunza..na pengine hajajifunza introduction to computer..coz it seems hata kuchapa hawezi....
Hacha izo Mkuu mazalau sio mazuri but all in all point nimeipata toka kwako mkuu
Shukran mkuu wangu kwa Ushaur but lengo kuu pamoja na kuchapia ila nisameheni ndugu zangu ni kwamba tusio kuwa na vyama tuonyeshe makali mkuu tumechoka na nikweli sijawai jiunga na chama chochote japo kura huwa napiga ila kutoka mwoyoni vyama vinatuangusha mkuu wangu ni mda serikali akatuangalia sie kwa jicho la ziada ila sio jicho la huruma mkuuKama unaweza acha kufatilia siasa mkuu mm nimeweza kidg
CHADEMA wako vyema sana kwenye intelijensia. Hebu fikiria hawa wange pewa madaraka kwenye huu uchaguzi ulio pita nini kinge tokea? Yaani wali jipanga kuimaliza Chadema ila wakaumbuka. Sasa wana rudi kwa walio watuma.Husika na kichwa hapo juu,
Nafikiri Bunge limebaki na mkutano mmoja, na kama ndio hivyo naomba sheria ya mgombea binafsi ipelekwe Bungeni maana tumechoshwa na wananchi tunaowachagua kutuongoza kuhama vyama, wanatuharibia muda na kuturudisha nyuma.
Hivyo Mkuu wangu naomba tupeleke muswada wa dharura wa mgombea binafsi, niko chini ya miguu yako mkuu.
Tafadhali tusaidie.