Ombi maalum kwa Rais wangu Magufuli



Jikane nafsi! Fanya yako mkuu!usipigie kura tena mkuu..kidogo inapunguza maumivu
 
Mkuu wangu hapa mambo ya vyama achana navyo lengo kwa wasio na vyama tunataka haki yetu tumechoka
 
Siyo mazalu wana...sema mazarau...kuwa kuzungumza piga kimya...

Hata kukosoa hauwezi...unakuwa kama manzi wa uswazi...
Ebu jikite kwenye hoja Wenda kiswahili wakijua sana kama ningekua mwepesi Wa kutukana ningekutana mpaka ujinyee kama kiswahili mpaka Leo watu wasomea kwa miaka mitatu chuo Leo wajifanya wakijua sana bumpavu sana na ieleweke pumbavu sio tusi ila iwezo Wa MTU pambanua mambo kama wewe PUMBAVU SANA
 

Asante sana...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...sasa hivi umekuwa makini kwenye uandishi wako ambalo kwangu ni ushindi mkubwa...sasa uwe unaandika hivi sawa kijana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…