kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Hii aibu hii,Team haibebeki.Kila siku hatuna furaha.
Ukiangalia mechi za hii team kila siku roho juu.Haifai hata kwa kulumagia hii team.
Nakuomba chondechonde ifute tu hii team isije ikaha kukutia doa kwenye uongozi wako maana yule mwenzio walimwambia ana gundu.
Mpaka 2025 ndio tuanze tena moja kuliko kuwa na hii aibu.