Tanzania kila kitu siasa.Na hii ni ishara nzuri kwetu maana timu kubwa hubebwa kwa hongo.Hivyo matokeo ya rushwa ndiyo hayo.
Katika team nisiyo ipenda ya kwanza Taifa Stars!
Hii aibu hii
Team haibebeki
Kila siku hatuna furaha
Ukiangalia mechi za hii team kila siku roho juu
Haifai hata kwa kulumagia hii team
Nakuomba chondechonde ifute tu hii team isije ikaha kukutia doa kwenye uongozi wako maana yule mwenzio walimwambia ana gundu.
Mpaka 2025 ndo tuanze tena moja kuliko kuwa na hii aibu yan bora hata shilole.