Pesa za Michango hamjatoa na hamtoi halafu tena mnataka muwekewe kila Kitu Mitandaoni. CHADEMA sasa wana 'Umasikini' ulio wa ghafla sana.
ACT wapo organized sana. Tatizo CDM wanywa pombe kali wengi.CHADEMA hawajajipanga kwenye huu uchaguzi, kama upo makini utaona kuwa kwa upande wa upinzani ACT wapo makini zaidi.
Hivi hata kutoa taarifa kwa umma tabu. Hawana hata kamera za kurekodia. Duh, Lissu angejua angejiunga ACT. Hiki chama kimejaa wazee wa visusio ni balaaHapa kweli wandugu. Tulio na mapenzi mema kwa hiki chama, na tunaotaka mabadiliko, tujichange jamani. Nahisi hawawezi tu kuweka wazi kila kitu, ila itakuwa wamebanwa mno kifedha ili wasipate pakupumulia kabisa.