Wanajamii forums! Mie nimebahatika kumiliki kiescudo nomade toka mwaka 2010. Gari inachemsha sana hata ikiwa silensi pia gia hazijibadili. Naomba kwa wale tu mafundi wa gari za aina ya suzuki wanipe ushauri nifanye nini. nimechunguza rediator haivujishi pia nimebadili sirinder headgasketi lakini bado ina overheat. Nimebadilisha hydroric bado inachemsha. Je' sababu ni nini na nini kifanyike? Mie si fundi hivyo naomba ushauri wenu.