Wanajamii forums! Mie nimebahatika kumiliki kiescudo nomade toka mwaka 2010. Gari inachemsha sana hata ikiwa silensi pia gia hazijibadili. Naomba kwa wale tu mafundi wa gari za aina ya suzuki wanipe ushauri nifanye nini. nimechunguza rediator haivujishi pia nimebadili sirinder headgasketi lakini bado ina overheat. Nimebadilisha hydroric bado inachemsha. Je' sababu ni nini na nini kifanyike? Mie si fundi hivyo naomba ushauri wenu.
Peleka kwa wachina ama garage za quality,ambapo kucheki tatizo ni ef 70,baada ya hapo watakusaidia ila ukienda kwa mafundi wa mtaani utalia ukikuta ni wa kubabaisha atakuambia ununue,leo hichi kesho kile lakini wapi