Ombi muhimu sana kwenu wana jf. Naomba sana tena sana mnisaidie.

Ombi muhimu sana kwenu wana jf. Naomba sana tena sana mnisaidie.

kagarara

Senior Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
118
Reaction score
9
Tafadhali sana naomba anayeweza kupata gazeti la the guardian la tarehe 16/8/2011 anisaidie nafasi za ajira zilizokuwa zimetangazwa. Mm huku nipo kijijini na siwezi kulipata. Naomba sana msaada wenu.
 
hbu fungua kwenye website yao..................usiniambie hakuna tena internet mana hiyo post sijui utakua umetumia wapy
 
<font size="3"> web yao nimejaribu bila mafanikio, naomba unisaidie kama inawezekana! hbu fungua kwenye website yao..................usiniambie hakuna tena internet mana hiyo post sijui utakua umetumia wapy</font>
<br />
<br />
 
Back
Top Bottom