Tafadhali sana naomba anayeweza kupata gazeti la the guardian la tarehe 16/8/2011 anisaidie nafasi za ajira zilizokuwa zimetangazwa. Mm huku nipo kijijini na siwezi kulipata. Naomba sana msaada wenu.
<font size="3"> web yao nimejaribu bila mafanikio, naomba unisaidie kama inawezekana! hbu fungua kwenye website yao..................usiniambie hakuna tena internet mana hiyo post sijui utakua umetumia wapy</font>