OMBI: Mwenye code au Note za wimbo wa "Parapanda Italia"

OMBI: Mwenye code au Note za wimbo wa "Parapanda Italia"

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Inasemekana nyimbo nyingi zinazoimbwa hasa kwenye nyumba za ibada zinakuwa na mpangilio maalum ambao mtu yeyote akiufuata anaweza kuimba.

Sasa kuna huu wimbo una maneno kama ifuatavyo.

"Parapanda italia parapanda,
Parapanda italia parapanda"

Mwenye kujua au mtaalamu wa nyimbo anisaidie code/note zake, Inaonekana ni moha kati ya nyimbo unaoimbwa sana kwa wakati huu.
 
Naona kigogo kisha wachanganya
 
Ooooh na stoni atakuwa amekwisha nyakuliwa kwendaaa kumlaki bwana yesu ..mawinguniii...

Imbaaaa parapanda ...parapanda italiaaaa
 
mkuu nini shida unataka kuuacha uchumi wa kati?
 
Ooooh na stoni atakuwa amekwisha nyakuliwa kwendaaa kumlaki bwana yesu ..mawinguniii...

Imbaaaa parapanda ...parapanda italiaaaa
Unaonekana unaufaham huu wimbo, nisaidie code zake mkuu..!
 
Na mimi natafuta notes za kale ka wimbo kanakoimbwa "Kuna makao mazuri sana" Nakapenda sana kale kawimbo. Aliyeutunga anastahili tuzo.
 
...............$#@#%;+-&%$#@:!??()(--+🙂'",%##™®©©]℅℅™\\®^=={]].......parapanda italilia parapanda paaapaaaapaa.....;%#':;&$$©®™[[[]>[®©\©®[°^^π÷√€£ parapanda Italia parapanda ......$#%;!!parapanda Roma Italia parapanda

Nadhani note za wimbo zinakutosha nyingine wataongezea wadau,

Natania tu!
 
Daaaaah aiseeee kweli Mungu Hawaii Wala hachelewi japo sijui y nimeandika hv
 
Wimbo wa Fanuel Sedekia bila shaka. Nauogopa mno huu wimbo nkiuskia nakuwa mdogo km piriton.
 
Oooh malaika watakua wamekwisha kumjia kweeendaa kumlaki Bwana Yesu mawinguni

Back
Top Bottom