FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Bahati ilioje waziri was mambo ya ndani mh.Kangi Lugola aliwahi kuwa afisa was ngazi za juu wa polisi atakuwa analijua hili.
Polisi wengi wanatumia simu za tochi sasa watazuiaje makosa ya kimtandao wawezeshwe.
Taasisi nyingi za serikali na makumpuni binafsi hutoa simu aina ya smart phone kwa watumishi wao kama idara ya maji,kiwanda cha via tbl-Mwanza na kadhalika,sasa iweje taasisi Muhimu kama polisi wasiwezeshwe?hii ikiwemo nw na vifurushi vya internet vya kila mwezi au posho,
Maana wahalifu utumia mitandao kufanikisha bishara kama madawa ya kulevya(drug dealers),usafirishaji wa watu(human traffic),udukuzi wa simu za viongozi,kushambulia mifumo ya komputer ya nchi,ikiwemo mipango ya mauaji kama ilivyotokea kwa bilionea Msuya japo polisi walibaini wanahitaji tuzo mbinu ilikuwa ya kimataifa iliyotumiwa na majambazi kwa mujibu ya mitandao ya kijamii-sijui kiundani.
Mh waziri Kangi Lugola unguruma tunakuamini sana na kwakuwa hulali naamini Uzi huu utausoma
Nimewahi kukaa na polisi nikiwa kazini na kupiga nao story,aisee wana upeo mkubwa sana
Istagram: kaukwaju