Inapigwa uwanja neutral, kwahyo taifa ndo mahala pake
Wee ndala, hatufungwagi kirumba na mbao kama yanga! Wapeleke hata olmotonyi, msumeno uko pale pale!Fainali ya FA Cup ichezwe kwenye uwanja wa CCM - KIRUMBA ili wananchi wa Kanda ya Ziwa wapate pia kushuhudia mtanange huo. Mapato yatakayopatikana nina imani kuwa yatazidi mapato ya uwanja wa Taifa.
Naomba sana msiwaangushe wapenzi wa mpira wa Kanda ya Ziwa.
Wakijaa si sawa ni 1/6 ya wanaoingia taifa!Naunga mkono hoja tena Mwanza watu wanajaa uwanjani