OMBI: Serikali ingilia kati biashara 'mpya' ya Forex

OnTaRio ni Tapeli sana sana, Wengi tuliyajua haya, Kitendo cha yeye kuingia mkataba na broker ili kuwaumiza vijana hakikubaliki

Kitendo cha kushindwa kujibu hoja na kutumia matusi anapoulizwa kuhusu huyo tapeli mwenzake broker wa JP ni shidaa
Kama kweli vile
 
Kozi zote za uhasibu zina somo linaloitwa international finance ndani yake kuna subtopic ya forex exchange and capital market.sema tu labda wewe masomo ya biashara yalipita mbali nawe.
 
Kwanini Watu hawaji Na ushahidi wanabakia tu kusema next week/Kesho nk.
 
Kodi wanalipa kama kawaida tu!! Tufunge nchi ikose mapato. Au kisa mnataka kufungua zenu naisi mmezidiwa kete tu hapa
 
Umeandika vizuri inaonyesha wazi upo deep sana sio tu kwenye Forex lakini kwenye uchumi kwa ujumla...hongera
 
OnTaRio ni Tapeli sana sana, Wengi tuliyajua haya, Kitendo cha yeye kuingia mkataba na broker ili kuwaumiza vijana hakikubaliki

Kitendo cha kushindwa kujibu hoja na kutumia matusi anapoulizwa kuhusu huyo tapeli mwenzake broker wa JP ni shidaa

nenda kacheze tatu mzuka ni buku tu unaamka millionaire.

Forex sio kwa ajili ya bongolala kama wewe.
 
Ohhh aisee ukisikia kamati ya roho mbaya ndio hii

Mngemuacha kijana anywe chai kwanza.
 
Duh
Hii sasa si vita tena bali chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…