Ombi:Takukuru tunaomba muichunguze club ya yanga.

Ombi:Takukuru tunaomba muichunguze club ya yanga.

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Mimi nina waswas sana pale kuna kitu kinafichwa, na nisifiche kuna ubadhirifu wa pesa za club. Haiwezekani mtu anaejiamini akaogopa uchaguzi tena anagawa kaki eti watu wamshindikize tff na matalumbeta yakipigwa. Tena mtu kaitwa na kamati ya maadili, sijui itamsaidiaje ? Tetesi zinadai kuwa wachezaji wana miezi minne bila mshahara. Halafu sisi tulikuwa tunachangia no mahesabu.
Nauliza hivi Bakili makere anaelimu kiasi gani mpaka awe Katibu wa kamati ya uchaguzi ,na hivi dar nzima waliona yule ndo awe mwenyekiti wa matawi ya yanga?
Onyo:Viongozi mliopo madarakani yanga ni timu ya wapigania Uhuru msijisahaulishe sisi tukisema mtoke mtatoka hata kinguvu.
 
Takururu tunaomba wafuatao waitwe wahojiwe tujirizishe usafi wao.1.Clement sanga 2.Bakir makele na Katibu wake 3.Saidi mosha 4.Hussein Nyika 5.Omary kaaya
 
Takururu tunaomba wafuatao waitwe wahojiwe tujirizishe usafi wao.1.Clement sanga 2.Bakir makele na Katibu wake 3.Saidi mosha 4.Hussein Nyika 5.Omary kaaya
Hawa wanaitafuta jela.Serikali hii haichezewi
 
tatizo Yanga vishoka wengi na wachumia tumbo awajui wakati sasa umebadiika
 
Yanga inatia aibu...twendeni tukawatoe kwa nguvu la sivyo ubingwa tusahau
 
Kiswahili lugha ngumu. Huu ni msamiati. Usiuchukulie ulivyo. Jaribu kufikiri kidogo.
 
Jaribu kutafuta msaada kwani inaelekea nalumbana na mtu ambaye hanazo zote.Rudia kusoma utaelewa tu.Ni lugha ya taifa haiwezi kuwa ngumu sana kwako.
 
Jaribu kutafuta msaada kwani inaelekea nalumbana na mtu ambaye hanazo zote.Rudia kusoma utaelewa tu.Ni lugha ya taifa haiwezi kuwa ngumu sana kwako.
Umeamua unitusi kabisa ili kutetea kujua kwako kiswahili. Sawa nimekubali unajua kupita wote.
 
Back
Top Bottom