Mimi nina waswas sana pale kuna kitu kinafichwa, na nisifiche kuna ubadhirifu wa pesa za club. Haiwezekani mtu anaejiamini akaogopa uchaguzi tena anagawa kaki eti watu wamshindikize tff na matalumbeta yakipigwa. Tena mtu kaitwa na kamati ya maadili, sijui itamsaidiaje ? Tetesi zinadai kuwa wachezaji wana miezi minne bila mshahara. Halafu sisi tulikuwa tunachangia no mahesabu.
Nauliza hivi Bakili makere anaelimu kiasi gani mpaka awe Katibu wa kamati ya uchaguzi ,na hivi dar nzima waliona yule ndo awe mwenyekiti wa matawi ya yanga?
Onyo:Viongozi mliopo madarakani yanga ni timu ya wapigania Uhuru msijisahaulishe sisi tukisema mtoke mtatoka hata kinguvu.