Ombi: Trafiki wabuni tochi kwa ajili ya kudhibiti bodaboda

Ombi: Trafiki wabuni tochi kwa ajili ya kudhibiti bodaboda

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu!
 
Bodaboda hasomeki kwenye tochi wala rada, hana tofauti na ndege ya kivita..
 
Hii ni biashara inayotafuta wapi biashara nyingine izalishe ni kheri kuzalishwe vifaa vya moto husika ambavyo vitakua na speed fulani husika kutokana na takwimu fulani za ajali basi nchi hii ipelekewe vifaa vyenye speed limit flan
 
Back
Top Bottom