K kissa anyigulile JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 1,550 Reaction score 1,742 Sep 19, 2021 #1 Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu!
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Sep 19, 2021 #2 Bodaboda hasomeki kwenye tochi wala rada, hana tofauti na ndege ya kivita..
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 19, 2021 #3 kissa anyigulile said: Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu! Click to expand... Unadhani za magari wametengeneza au hata kubuni hata kubuni kina kingai?
kissa anyigulile said: Kama mliweza za magari nadhani hata bodaboda mtaweza. Hizo spidi zao kwakweli ni za kufa mtu! Click to expand... Unadhani za magari wametengeneza au hata kubuni hata kubuni kina kingai?
T Taric Hiyari Member Joined Jul 26, 2021 Posts 5 Reaction score 3 Sep 19, 2021 #4 Hii ni biashara inayotafuta wapi biashara nyingine izalishe ni kheri kuzalishwe vifaa vya moto husika ambavyo vitakua na speed fulani husika kutokana na takwimu fulani za ajali basi nchi hii ipelekewe vifaa vyenye speed limit flan
Hii ni biashara inayotafuta wapi biashara nyingine izalishe ni kheri kuzalishwe vifaa vya moto husika ambavyo vitakua na speed fulani husika kutokana na takwimu fulani za ajali basi nchi hii ipelekewe vifaa vyenye speed limit flan