Elections 2010 OMBI: Tujitolee kulinda kura za slaa

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
wana jf tuwe wazalendo siku ya jumapili tujitolee katika vituo vyetu kuwa makini na kura za shujaa wetu slaa wasije wakazichakachua
 
Ni wazo zuri na kila mtu baada ya kupiga kura ahakikishe kuwa anaweka mkakati wa kupata chakula chake na kukaa katika kituo cha kupigia kura. Ni lazima mwende na tochi kwani hawa jamaa watazima umeme ili kufanya uchakachuaji wao. Mtu asitii amri ya kuondoka karibu na kituo na vilevile ni lazima kupeleleza nyumba au maeneo ambayo watakuwa wameficha kura bandia. Mawakala wasikubali kula au kuchangia chakula na wasimamizi au mawakala wengine kwani kitakuwa kimewekewa dawa za kulevya au kimeharibiwa ili waendeshe kama gari bovu.
 

ni kweli pia mawakala wawe serious na msimamo maana hawa mafisadi hawakawii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…