Ombi : Wafanyabiashara nchi nzima gomeni tutawasapoti sisi wananchi

Ombi : Wafanyabiashara nchi nzima gomeni tutawasapoti sisi wananchi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hii tabia ya kupoteza watu wenye msimamo katika jamii naona sasa inataka kua sugu,kina kubenea wamezimishwa,yule raisi wa madaktari nusu auawe kazimishwa,sasa naona wanamuwinda mwenyekiti wa wafanya biashara.serikali acheni kututibua wale jamaa wa escrow mnawaangalia tu mpaka leo eti mnaenda kumkamata mwenyekiti wa wafanyabiashara this is non sense,bull shit.hivi kikwete are you serious ???? Unajua nchi yako ilipo ???? Au wewe ni kuzunguka duniani tu ???? Kwa kweli mimi nimegadhabika sana hiki kitendo cha vyombo vya usalama kutumika vibaya kwa kweli inaniuma sana yaani naandika hii thread keyboard yangu imejaa machozi sijui kama itafanya kazi tena.hivi hakuna nchi tunaweza badilishana nao wakachukua tu hii nchi hata bure.....hiiiiiiiiiiii mmmhhihiiiiiiiiii nasikia uchungu mieeeee.
 
Back
Top Bottom