Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Habari zenu wana jf,nilikuwa ninaomba kwa wale walio katika nchi za wenzetu na huko walipo kuna fursa za kazi kwa fani yangu ya Umeme nilikuwa naomba anifanyie mpango wa huko alipo,kwani hali ya huku bongo inazidi kuwa mbaya kweli,aliye tayari ani-pm