FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Inaumiza sana wazazi,walezi na wafadhiri kugharamikia nauli na malazi pindi MTU aitwapo interview inapaswa makampuni na taasisi za serikali zijipange pindi zinapotaka kuajili na sio kuzirudisha gharama hizo kwa wachache wanaopata ajira.
Japo kunaweza kuwa na changamoto ya kuita wasomi walio karibu karibu tunaamini serikali litadhibiti kwa kuweka idadi kamili ya wanaopaswa kuitwa na sio kuita watu wawili tu kukwepa gharama hizo.
Ningekuwa mwanasheria na wakili kama Fatuma Karume au Msemwa ningewashtaki taasisi za zamani za serikali PPF na LAPF chini ya ndugu Eliud Sanga kwa kuniita interview awamu mbili kwa tangazo la ajira hilo hilomoja na kumtia hasara mzazi ya shilingi milioni mbili kama gharama ya safari,chakula na malazi na kuulizwa habari za Rwanda kwenye mtihani,zsaidie nini.
Pia si busara kuita wale GPA kubwa tu maana a asomi wengine hawakuwa ktk mood nzuri nyakati za Mitihani ila ktk interview wanaweza Fanya vizuri hata mh.rais aliwahi sema anaweza ajili hata msomi wa darasa LA saba kikubwa afanye kazi kama mh.Msukuma(mb),mh.Antony Mavunde tunaomba uungurume juu ya hili ulibadili.