Nipo lock down mkuu sitoki ndani na sitaki hata wageni
Kweli Mkuu huyu member ajaleta mrejeshoHapo sawa maana kuna member mmoja alituaga huku sasa hajajitokeza tena sijui hali ipo vip huko aliko. Ila mungu ni mweza wa yote na hili litapika kama vile tauni, ukoma na surua
Kweli Mkuu huyu member ajaleta mrejesho