Omega3 salimon oil

Omega3 salimon oil

Happiness1

Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
49
Reaction score
26
OMEGA 3 SALMON FISH OIL ni mafuta Bora ya samaki yenye familia zote 8.

Yanasaidia wenye changamoto za :
✍️Presha za kupanda na kushuka
✍️Matatizo ya moyo
✍️Matatizo ya macho
✍️Aleji
✍️Matatizo ya Mifupa
✍️Yanasaidia kuongeza kumbukumbu Kwa watu wazima
✍️Yanaongeza IQ Kwa watoto na kumfanya awe na akili na ufahamu mkubwa
✍️Yanaongeza kinga ya mwili hasa Kwa watoto
✍️Yakitumiwa na mama mjamzito yanamuepusha na matatizo ya mimba na kufanya mtoto awe na afya nzuri
✍️Yanatoa mafuta machafu (bad cholesterol) kwenye mishipa ya damu

Mafuta haya yanatumiwa na watu wote, rika zote hata kama hauna changamoto ya afya unaruhusiwa kutumia.. hayana madhara ya sasa wala ya badaye.. maana ni pure natural SALMON OIL.

Tupigie au WhatsApp 0658379911
1659634953772.jpg
 
Tunayapataje sasa maana umetupa faida ya kitu ambacho hatujui pakupata.
 
Hivi hayana shombo ya samaki? Kama hayana shombo basi itabidi nianze mchakato wa kuyapata.
Vipi kuhusu bei bibie Happiness1? Tuwekee kabisa ili tujiandae kikamilifu
 
Back
Top Bottom