Inaweza kuwa ni siku ya pilisi kweli kabsaa..damu inapoanza kutoka haiji kama bomba hivyo kama ndo imemuanza ni lazma vingetoka kidogo siku ya pili au baada ya masaa 6 nakuendelea ndo damu hutoka kwa kasi..lakin siku ya kwanza tena kaw muda huo huo damu itoke vile...labda kama ameharibu mimba.
Plausible explanation labda ni spray ya kugeuza rangi, imeyayuka kutokana na joto na jasho
Mademe X nilifikiri pia unaelewa kuna siku mtu anapata hali hiyo siku si zake kutokana na mshtuko au ukiwa too immotional!.
It may be plausible lakini ndio explanation ya Christina. "Christina Aguilera reveals fake tan streaks on her Dirrty legs at the funeral of Etta James": Christina Aguilera reveals fake tan streaks on her Dirrty legs at the funeral of Etta James | Mail Online. Lakini ukisoma article nzima hakuna sehmu yoyote inaposema kwamba it was a spray except the heading of the story. Na kwa ile performance aliyoitoa on stage lazima spray ingeyeyuka tuu. It was one of her recent stunning performance on stage she received a standing ovation. I really hope it was a spray.
Pasco, unaongea na watu wasioelewa hizi mambo! This doesn't happen when you are 20 yrs old! Its like talking to a 21 yrs old boy about dysfunction! Hiyo tunaelewa sie wazee tu.
Hata stress tu inasababisha hii ukiachia mbali menopause.
Of course I don't expect her to admit that her monthly showed up unannounced. That would be hella embarrassing. I expected this kind of spin from her and her people.
Lakini kwa upande mwingine ukiangalia, alikuwa kavaa sketi inayofika magotini. Sasa hiyo tan spray alijinyunyizia mapajani au? Manake hiyo michuruziko inatoka juu mapajani...
Either way, it is embarrassing....
ishu kama hyo ilishamtokea hata rihana on stage,ila ya huyu imezidi
Umeongea pont King'asti mie hata sikoment juu ya hili
You neva know ni nini kilimtokea siku hiyo
:A S embarassed:
Lakini kwa upande mwingine ukiangalia, alikuwa kavaa sketi inayofika magotini. Sasa hiyo tan spray alijinyunyizia mapajani au? Manake hiyo michuruziko inatoka juu mapajani...
Either way, it is embarrassing....
It also could have been self tanner that sweated off during the performance (However, her legs would be the only place sweating if this were true).
Some say that she began taking diet pills so it could be a leakage from somewhere else (not that that is any better than period blood).
this is sad... mkuu this is uncomfortable