Hii kitu ipo sana na mara nyingi damu inayotoka bila mhusika kujua huwa ni side effect za ma-chemical aliyotumia au complication za uzazi. Ukizingatia wazungu ma-kemikali ndiyo mwake
Ooow... But ina maana she didnt even feel it ilipoanza mpaka imechuruzika? Halafu siku ya kwanza ndo nyingi hivyo?.....mmmh grossly embarassin! But shit happens!
ha ha ha....umejitahidi kweli kumtetea..hatimaye umebadili msimamo....celebs wengi naambiwa hawavai kofuliz ndio maana hili lilitokea hakuweza kugundua mapema, maana ingemsitiri.