OMG its Friday!

Enzi zile za primary wale waliokuwa na miandiko mizuri walipata soko sana kuwaandikia watu barua! Binafsi nibahatika kujua nani anamtaka nani, kwani nilikuwa na ka-mwandiko kazuri (siyo mchuno wala mkorogo).
 
Wachungaji wa Kondoo Wa Bwana ni Mahiri kwa "kutongoza" toka tumboni mwa Mama zao!
 
Sisi wa dotcom hatujui hata kudraft hizo letters vidole vinacheza kiduku na button!!
 
Hahahahahahahah,

Mkuu umenikumbusha enzi zile mlivyokuwa mnawadanganya watoto wa shule za sekondari, wanajimwaga hostel kubadilisha menu!!!

Kuna watu hakika wana kesi za kujibu....!!!
 
Hahahahahahahah,

Mkuu umenikumbusha enzi zile mlivyokuwa mnawadanganya watoto wa shule za sekondari, wanajimwaga hostel kubadilisha menu!!!

Kuna watu hakika wana kesi za kujibu....!!!

na malipo ya kufanya hapahapa duniani mkuu........wengi tu now ni baba wa mabinti kadhaa hivi...basi malipizi ya yote waliyowafanyia watoto wa watu yatawapata watoto wao..(dah!hii inatisha na inauma kufikiri!!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…