Ommy D, mkali wa kutafsiri muvi. Je, unamkubali kwa kiasi gani?

Ommy D, mkali wa kutafsiri muvi. Je, unamkubali kwa kiasi gani?

kuritovu

Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
60
Reaction score
24
Habarini wakuu..

Kama mada inavyojieleza hapo juu kiukweli mimi namkubali sana ommy D jinsi anavyoeleza picha zake inshort zinaeleweka sanaa hautumii nguvu kuelewa muvi inahusi nini..

Kwa apa bongo ata na Kenya sidhani kama Kuna mkl wa kuwaka maneno ya kiswahili kwenye picha za kizungu...anaemfikia ommy d

JE we unampa asilimia ngapi ommy D mkali wa muvi za single na season za ukwee na MAALUMU kwangu mi Nampa 100% uyu jamaa anajua sana aise na ingependeza kama ungedondosha na muvi yake aliyoitafsri na umeeicheki ukuikubali

Karibu sanaa
 
Huyu jamaa si ndio yule anayesimuliaga movie za kihindi...anaita "kotoo yaani mkorong'oto kwa kwenda mbele"🤣🤣😂😂
 
DJ Afro ndio mkalimani numbari moko kwa ukanda huu wa Africa Mashariki, au sio wanangu?
 
Ommy D...
Na hisi mi ndo shabiki yake namba moja.

Huyu jamaa alinifanya niache kuangalia move Utorent na Nertflix.
Maana anatafsiri vizuri na kwa uhakika.
Nimejikuta nikiangalia Move Nertflix vingi vina niacha.

Sema tatizo lake anapatikana Arusha Dj.
Huku Daslam hana mtu wala duka linalo uza miendelezo yakeee
 
Babu Dj unamjua wewe ommy d nikwa season za England tu zile za Vikings ila babu Dj anajua pia hawakubali wote
 
Naona unajipa promo pole Sana

Mimi na familia yangu hatukujui ommy d

Back
Top Bottom