Ommy Dimpoz adaiwa kuiba nyimbo kwa Aby Dady

Ommy Dimpoz adaiwa kuiba nyimbo kwa Aby Dady

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Habali kamili

Baada ya msanii wa kizaz kipya kutoka pande za kigoma ommy dimpoz kuachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la cheche, nyimbo hiyo ambayo inafanya vizur sana kunako game kwa sasa nyimbo hiyo inadaiwa imeibiwa kutoka studio kwa aby dady na ilikuwa ya msanii mpya wa aby dady ambaye yupo chin wa mkali huyo aliyekuwa mtayalishaji wa nyimbo za alikiba kama aje na nyingine nyingi

Baada ya omy dimpoz kutafutwa na e news television ili kuzungumzia tukio zima la wiz wa ngoma hiyo alikana kwa saut kuu huku akidai yeye kutohusika na wiz wa ngoma hiyo maana yeye hiyo ngoma aliandikiwa na mkali wa nyimbo za injil kutoka jiji la miamba usukuman mwanza mwanza gosbert mwenye studio ya lolpop iliyowatoa wakali kibao kama barack the princ na katemi aka mo music

Omy d alidai yeye alienda kwa lolpop na kupewa ngoma hiyo ambayo ilikuwa tiar imeshatungwa na kuimbwa kwa hiyo alichofanya yeye ni kuifuatisha tu kwahiyo hakuhusika na utungaji au melody

Hivyo alidai yeye asiulizwe wa kuulizwa aulizwe lolpop wala si yeye omy d

LONDON BABY
 
Mmmmh aisee utata mkuu,ukipata muendelezo wa hii habari ulete hapa tena
 
Duuuuh,wenzake wanaibaga nyimbo nzuri yeye kaiba liwimbo libayaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom