kwani hapa bongo kuna wanasayansi?Mleta uzi ndo hujui haya mambo. Views zinanunuliwa na kuna website maalum kabisa ya kununua views.
Huo utaalamu wako wa IT umesomea wapi mkuu??
mbona haifunguki hii website ama na ww ndo wale wale???www.buyyoutubviews.com
Hiyo ni moja kati ya website nyingi. Na huko mbele watu wengi wanafanya. There has been a lot of cases of people buying or trying to buy views.
Shule nayo inachangiaTunasemaga siku zote watu wachunge kauli zao inawezekana vipi mtu ununue viewers afu google wakulipe haya ni maajabu inamana unanunua viewers kwa google afu hao hao google wanakulipa non sense
Kato evidence wala hakubwabwaja tu yaani katoa vivid evidenceNa omy katoa evidence kabisa kuwa hata yeye kawahi kununua au katupiga changa?
Sijaelewa swali lako mzee, unaongelea wanasayansi katika muktadha upi?kwani hapa bongo kuna wanasayansi?
Hivi kw akili yako yaani unaweza kununua view afu YouTube wasikushtukie tena kwny izo channel zenye matangazo ya google szan kama inawezekana maana na wenyewe wana security mkubwa......mleta uzi unaniaibisha sana yn, bora basi mada yako ingekuwa kwa mfumo wa swali ili tukujibu! lakn ndo umejifanya mjuaji, shwain!!! baki na ujinga wako.
Imetosha na threads za Ommy jamani khaaaa!
Mleta uzi ndo hujui haya mambo. Views zinanunuliwa na kuna website maalum kabisa ya kununua views.
Huo utaalamu wako wa IT umesomea wapi mkuu??
Nimekusoma mkuu.I agree wid u kabisa ni kweli views unaeza kununua na hata mm nishawah kununua views kwenye ishu flani ya kibiashara. Lakin kwa issue ya diamond na dimpoz cdhani kama Diamond ananunua views, kama ananunua bac labda ilikua zamani. Nasema ivo kwa sababu hata mm niliekua nikinunua views 1000 tu kwa ajili ya ushindan wa biashara nilikua napata warning from Youtube na kuna muda hadi video zinafungiwa au zinakua deleted. Youtube inatambua Bot views na real views. Kama sio ivo bac kila mtu angekua ananunua views ili alipwe na youtube, huwezi niaminisha Views milioni 1-2 za diamond ni za kununua wakat mm wa views 1000 tu vdeo yangu ilikua deleted. Kama alikua ananunua zamani yawezekana, ila sio kwa saivi tena ndo ulinzi wa fake views ni mkubwa zaidi.
Nimekusoma mkuu.
The issue here ilikuwa ni kwamba unaweza kununua views au huwezi. Ishu ya hao jamaa wawili is not our interest in this issue.
Mia mia kiongoziTuko pamoja mkuu[emoji106]
Wala hata hakomi.Hii week ommy atakoma maana mnamsakama sana kijana wawatu khaaa