Ommy Dimpoz akiri kununua views Youtube kwenye wimbo wa Wanjera

We mwandishi ni mnafiki uandishi wako umekaa kiteam team... hiyo interview tumeiona wengi umepunguza sana maneno hlf umeongezea mengine ya kwako unataka kupotosha watu
Hebu iweke hiyo interview unayoijua wewe
 
www.buyyoutubviews.com
Hiyo ni moja kati ya website nyingi. Na huko mbele watu wengi wanafanya. There has been a lot of cases of people buying or trying to buy views.
Hebu tuwekee MWENDELEZO WA HAPO KWENYE KUNUNUA (maana hapo pamewekwa idadi na pesa ya kulipia) SASA KWA WEWE KUTUWEKEA KITU KISICHOONEKANA MWENDELEZO WAKE,SI RAHISI KUJUA KAMA HIYO WEB SI FAKE AU SI MATAPELI,TENA IKIWEZEKANA WEKA HADI HATUA YA MWISHO INAVYOKUWA ....????
 
Watu wananunua followers na views /likes safi tu.

we uonagi mtoni lil Wayne akitoa status ikiwa na just now au 1minute ago tu ina likes elfu 50 comments elfu 20
 
Yani unataka nifanye kama nanunua au? If that is what you want, you can do it by yourself...follow that link and fata maelekezo yake.
 
Yani unataka nifanye kama nanunua au? If that is what you want, you can do it by yourself...follow that link and fata maelekezo yake.
MI SIWEZI KUZIFUATA HIZO HATUA KWASABABU NAJUA HAO NI WEZI NA NI MATAPERI,WE UNAONAJE NAKOSEA........??
 
Watu wananunua followers na views /likes safi tu.

we uonagi mtoni lil Wayne akitoa status ikiwa na just now au 1minute ago tu ina likes elfu 50 comments elfu 20
HEBU TUWEKEE HADI HATUA YA MWISHO KABISA YA KUNUNUA KAMA HIYO WEB INAVYOTUAMBIA HAPO JUU.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ommy amewafanya hapo madale mchanganyikiwe
ndio jibu hilo,hongera umeona watu wanasema unaweza kununua viewers na wewe ukadandia kisa wameweka WEB,haya sasa kama mnachokisema ni kweli wekeni mwendelezo wa hapo hadi hatua ya mwisho kabisa .........????
 
It's your "personal" judgement, why should i concur with it?
KWAHIYO WEWE HUWEZI KUDHIBITISHA ULICHOKIONGEA ........... BASI NA WEWE NI MZUSHI,NA HAPA SI SEHEMU YA WAZUSHI. HITIMISHO NI KUWA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS, NA KAMA YUPO ANASEMA UNAWEZA AWEKE HAPA HATA SCREENSHOOT ZA SIKU ZA NYUMA ALIZOWAHI KUNUNUA.
 
Ila mi nlickia hata likes fb unaweza kuongeza ko na hisi ni njia izo izo znaweza tumika ata kwa viewers!!
 
KWAHIYO WEWE HUWEZI KUDHIBITISHA ULICHOKIONGEA ........... BASI NA WEWE NI MZUSHI,NA HAPA SI SEHEMU YA WAZUSHI. HITIMISHO NI KUWA HUWEZI KUNUNUA VIEWERS, NA KAMA YUPO ANASEMA UNAWEZA AWEKE HAPA HATA SCREENSHOOT ZA SIKU ZA NYUMA ALIZOWAHI KUNUNUA.
Ndugu yangu unafikiri kwa kutumia nini? Buying views ni crime, so unataka watu wajikamatishe ili tu kuokoa kiu yako ya kutetea ujinga wako?
Let's make on thing clear, kama huelewi kitu bora unyamaze maana utaishia kuargue kama mtoto. You argue like a baby
 
HEBU TUWEKEE HADI HATUA YA MWISHO KABISA YA KUNUNUA KAMA HIYO WEB INAVYOTUAMBIA HAPO JUU.
Si umeona hapo wamesema likes 100 kwa usd 2? Kwa Demo tuweke likes elfu 10 so weka mpunga usd200 kisha ukishaamini tunawaambia wapige 40k views per day hiyo itakuwa total tunawapa usd 5000.
 
Mleta uzi ndo hujui haya mambo. Views zinanunuliwa na kuna website maalum kabisa ya kununua views.
Huo utaalamu wako wa IT umesomea wapi mkuu??
acha uongo na uelewa finyu, huwezi kununua viewers kama una matangazo ya google adsense account yako itafungwa na hautapea hata senti.. rudi tena kusoma terms za adsense, nina uzoefu wa haya mambo mwaka wa saba sasa.. account ya diamond ina adsense hawezi kununua viewers, adsense wanataka organic traffic ana social media traffic software, huwezi kununua traffic ukapona kwenye google adsense
 
Huu uTeam ni mbaya sana mtoa post huamini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…