Ommy dimpoz amchana shigongo

Lakini si Global huwa wanarekodi maongezi na wana audio na video Library yao? Kama walimlisha maneno ya kumchafua, inabidi aende mahakamni walazimishwe kuleta ushaidi walio nao.
 
hajasingiziwa amesema ayo maneno, kwa wanaomjua ommy hawatabisha dogo anatatizo ambalo lipo kibaiolojia zaidi,ana homoni nyingi za kike kuliko za kiume..ndio maana ata maumbile na tabia zake ni za kisichana...amesema ayo maneno, ila uwezijua pengine akitoa singo ya nne atakufa akiwa tajiri
 

Tabia za kisichana ndo zipi?

Na homoni za kike zinamsababishia mtu kuwa na tabia gani?
 
Tabia za kisichana ndo zipi?

Na homoni za kike zinamsababishia mtu kuwa na tabia gani?

tabia za kischana ni zile tabia walizonazo waschana kutokana na jinsia yao na umri wa uschana,mojawapo ni kisirani na nyodo

na homoni nyingi za kike zinamsababisha mtu kuact kama mwanamke

were you sleeping in biology class?? pole..
 
tabia za kischana ni zile tabia walizonazo waschana kutokana na jinsia yao na umri wa uschana,mojawapo ni kisirani na nyodo

Kwanza hapo umetaja mbili sio "moja wapo"

Pili, hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha hilo. Ni mfumodume uliokutawala

na homoni nyingi za kike zinamsababisha mtu kuact kama mwanamke ..
Mwanamke ana act vipi?
 
Kalishwa maneno na nani wakati ommy aliongea hayo maneno hadharani kwenye tuzo za walevi "kili"
 
Kwanza hapo umetaja mbili sio "moja wapo"

Pili, hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha hilo. Ni mfumodume uliokutawala


Mwanamke ana act vipi?

1. sijataja mbili ila upeo wako ndio umeona mbili..hicho ni kitu kimoja kilichogawanyika
2. hapa sijatumia mfumo dume nimeongelea kibaiolojia ,huo mfumo dume unaouona hapa ni athari ulizonazo kutokana na mikasa uliyokumbana nayo inakutafuna. usipobadilika kila kitu utaona ni mfumo dume,,
3.Upo ushaidi wa kisayansi kwa nilichosema usiwe mbishi
4 . tabia za kike ni zile alizonazo mwanamke wakati mwanaume hana
 
Msitake kumjaji shigongo direct, hebu fuatilien kaul za ommy ndo mtagundua dogo kaanza kulewa ustar
 

Lete ushahidi wa kisayansi unaoonyesha tabia za wasichana

Pia lete ushahidi unaonyesha tofauti ya kitabia kati ya mwanamme na mwanamke

Ahsante
 
Huo ni ugomvi wa mavi na kinyesi mi hakuuuu!
 
Hawa wasanii wamekosa "communication skills" wanapayuka tu.


Johari window!!
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371317578352.jpg
    20 KB · Views: 214
Ommy ameomba radhi ya nini ktk mtandao kama hakumtusi ngwea?
 
Wanajuana haoooo,sijawah sikia wala ona mtu aloandikwa na shigongo akienda mahakaman,,,,,

Kitoto kama hicho ki Omi Dimpoz kinaweza kusimama na kesi dhidi ya shigongo hata kwa wiki sita? Shigongo ana uwezo wa ku hire wakili yeyote amtakaye...hako ka Omi labda kaende TAWLA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…