Ommy Dimpoz anunuliwa iPhone 17 Pro Max na mke wa GSM kama zawadi

huyu mzee gsm awe makini watamlombea hata kuja kusahau jiulize manara ana sema mke wa fulani ana shepu kali kutoka uturuki na tunajua hao ni wazee wakujistiri je manara alilionaje hilo shepu au alimchungulia akioga mazoea ya kifala haya hatutaki kesi zenu mitandaoni
 
Kwanini wanaume wa daslam mnapenda sana umbea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…