Ommy Dimpoz aomba radhi kupitia ukurasa wake wa Facebook

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Posts
1,021
Reaction score
189
na hiki ndicho alicho kiandika

Ommy Dimpoz
Samahani tena sana na sitawacha
kuomba msamaha,nimekubali
makosa na hivi sasa naelekea
nyumbani kwao kuomba msamaha
kwa familia na nitue kwa vituo vya
radio kuomba msamaha kwa
wabongo na wote niliowaudhi.sam
ahani sana na nakubali mimi si mtu
bila nyinyi na sikuongea kuhusu
legend Ngweir kwa ila mbaya.One
Love.
 
jinamizi la Marehemu lazima lizae nae huwezi kutukana mamba kabla hujavuka mto, walikuwepo watu wenye hela na mafedha wako wapi leo. Sanaa ya Bongo ina muda wake kuna leo na kesho kauli aliyotoa kwa marehemu ngumu kuifuta na itam-cost sana kwenye sanaa yake na nyimbo zake tatu
 
anasema hakumaanisha
 
wasanii wetu ni ukurupukaji ndio unaowasumbua.!!
 
Ilikuwa haina haja kuomba msamaha kuongea ukwel c dhambi ila yy ndo anataka kutuaminsha kuwa alikosea
 
alisema nini?[/QUOTE

alikuwa anawaambia wadau kuwa amechoka kuona tunazika wasanii masikin wenye majina makubwa,hivo akaomba kampun ziwekeze kwa wasanii mfano wawe ata mabalozi,ili wanufaike na kazi za sanaa,
ngoja niongee yangu sasa ,msanii kama ngwea amekufa masikin na hio hakuna ubishi japo alikubalika sana na alianza kitambo,hio inatokana na kunyonywa sana,ngwea akustahili kufa maskini
 
big like.!
 
hahahahah naona kakiri kufanya kosa. sasa haraka za kumshambulia shigongo japo si mhariri alizitoa wapi? hii ni aibu kwake
 
alisema nini?[/QUOTE

alikuwa anawaambia wadau kuwa amechoka kuona tunazika wasanii masikin wenye majina makubwa,hivo akaomba kampun ziwekeze kwa wasanii mfano wawe ata mabalozi,ili wanufaike na kazi za sanaa,
ngoja niongee yangu sasa ,msanii kama ngwea amekufa masikin na hio hakuna ubishi japo alikubalika sana na alianza kitambo,hio inatokana na kunyonywa sana,ngwea akustahili kufa maskini

hichi ndicho alicho kuwa ana maanisha na hakukuwa na makosa kwenye maana hii. je hichi ndicho alicho kiandika hadi kikaleta sintofahamu?
 
Hizo tuzo 3 ndo zilimpa kiburi cha kukashfu wenzake.
 
wasanii wetu ni ukurupukaji ndio unaowasumbua.!!

Umbumbumbu ndio unawasumbua wasanii wetu. Hawajui kuwa ukiishafikia kuwa Super Star unatakiwa kupiga Tution ya Communication Skills na Public Relations ili uwe unajua unaongea na kuandika nini kwenye media. Sa sijui akifika kwa familia yake ataanzaje kuomba msamaha?? Labda akaombe kaburini
 
nyimbo 3 tuzo tatu ndo matatizo yake hayo!
 
Tatizo la elimu kwa baadhi ya wasanii linawafanya washinde kuwa na upeo wa kutoa hoja kwa mashabiki YEYE kwa pale anapotamka alihisi yupo sahihi ndo anakuja kutambua kuwa alikukuwa anatoa utumbo "ushauri msikurupuke wakati wa kutoa hoja kwa mashabiki wenu ili muweze kuheshimika na kupendwa na mashabiki ambao bila wao huwezi kuwa msanii badilikeni mnakera"
 
Last edited by a moderator:
Tz hatupend ukweli, Ommy Dimpoz kaongea poa tu na ni ushauri wa kuzingatiwa kabsa. Achen kubweteka wasanii fanyen maisha.
 
Kuna watu wanajitahdi kupindsha ukwel Ommy alisema "Tumechoka kuzima wasanii masikini wenye majina makubwa! Ngwear kafia South hata kusafisha maiti kwa michango ya kuunga unga" mimi siwezi kufa masikini kama Ngwear!"
 
Back
Top Bottom