Ommy Dimpoz asema ana utajiri wa milioni 400

Ommy Dimpoz asema ana utajiri wa milioni 400

YetuMacho

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
16
Reaction score
17
Kama ni kweli basi Dimpoz atakua na pesa ndefu, Ommy Dimpoz anapiga madili ya hela ndefu. Siku chache zilizopita Ommy Dipoz akiwa na mastar wenzake alipokea simu ya dili la milioni 400 unajua alichokisema???? Utashangaa sana hebu mskie mwenyewe kwenye video hii.....
 
Kumbe bado anavijisenti,mi nilidhani pengine yupo kwenye mabilioni huko.
 
Sasa kama kasema anazo we unambishia nini?
 
Back
Top Bottom