Mwanaume anasema anaogopa kusutwa kama demu! Huyu jamaa bhana. Halafu huyu wa Kigoma msije kusema wa Dar es salaam bure
Sio wa Kigoma ni Katoto kalikozaliwa Ilala Mtaa Kigoma Jijini Dar wa salaam Miaka ya mwisho 1980s.
Baba yake ndie mzaliwa wa Kigoma na Siku hizi anaishi Sumbawanga Zamani alikuwa Dereva wa Magari ya Rukwa Retco Enzi hizo.
Nilikuwa nafahamiana sana na Hayati Mama yake Allah amrehemu
Mkuu mbona haueleweki? Mara sio wa Kigoma,mara baba yake ni wa kigoma.
Na ile picha inayomuonyesha ameshikilia mfuko ndo anatoka Kigoma ni ya uongo?Sio wa Kigoma ni Katoto kalikozaliwa Ilala Mtaa Kigoma Jijini Dar wa salaam Miaka ya mwisho 1980s.
Baba yake ndie mzaliwa wa Kigoma na Siku hizi anaishi Sumbawanga Zamani alikuwa Dereva wa Magari ya Rukwa Retco Enzi hizo.
Nilikuwa nafahamiana sana na Hayati Mama yake Allah amrehemu
Na ile picha inayomuonyesha ameshikilia mfuko ndo anatoka Kigoma ni ya uongo?
Sio wa Kigoma ni Katoto kalikozaliwa Ilala Mtaa Kigoma Jijini Dar wa salaam Miaka ya mwisho 1980s.
Baba yake ndie mzaliwa wa Kigoma na Siku hizi anaishi Sumbawanga Zamani alikuwa Dereva wa Magari ya Rukwa Retco Enzi hizo.
Nilikuwa nafahamiana sana na Hayati Mama yake Allah amrehemu
Huyo wa Kigoma usituvuruge.Sio wa Kigoma ni Katoto kalikozaliwa Ilala Mtaa Kigoma Jijini Dar wa salaam Miaka ya mwisho 1980s.
Baba yake ndie mzaliwa wa Kigoma na Siku hizi anaishi Sumbawanga Zamani alikuwa Dereva wa Magari ya Rukwa Retco Enzi hizo.
Nilikuwa nafahamiana sana na Hayati Mama yake Allah amrehemu
Huyo wa Kigoma usituvuruge.
Mwenyewe kaimba kabisa kwenye Leka Dugitike "Japo nipo town naupenda mkoa wangu"
Sasa sijui unapata wapi ujasiri wa kumtetea humu.
Diamond baada ya ule wimbo aliojiwa akasema yeye hatoki mbagala alitumia jina Mbagala kutokana na mazingira yake hasa swala la kulipuka kwa mabomu ambalo lilitokea ndani ya mwaka ule na shida ya usafiri.Yeye Kaimba Mie Siimbi nakueleza Facts.
Diamond Kaimba 'kwetu Mbagala' jee nae anatokea Mbagala nisikuvuruge?
Pengine Mtu akitumia kichwa chako kuvukia Barabara ng'ambo ya Pili hafiki!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Na ile picha inayomuonyesha ameshikilia mfuko ndo anatoka Kigoma ni ya uongo?