Ommy Dimpoz atoa bonge la wimbo

Ni mara chache sana kwa msanii kutoa wimbo unaoweza kufunika wimbo wake uliopita, haswa kama uliopita uli hit.

Nakumbuka Mb Dog, Sam wa ukweli ni kati ya waliowahi kufaulu.......Na wapo wengi wamechemsha mfano wa karibu ni Kigoma all stars, Snura................

Big up Ommy.............bonge la wimbo...atakayeusikiliza na kuukataa atakuwa na sababu zake binafsi.
 
Hakuna wimbo pale,labda ahonge hao babu zake wa blauuuz fm waurushe tu

ommy kamaliza muda wake mapema sana,,tatizo hana talent ya ukweli bas tu..kwa sasa madogo wanaoweza muzik ni diamond na belle huwa nawaaamini hawabaatishi.
 
Bo bo bo bo bo bo Booooooooooooonge la ngoma! TUPOGO eeeh eeh tupogo hata mnibonde na chupa bado NIPOGO!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…