ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chukua time inaitwaNaitafuta sana ile nyimbo alipiga na Suma mnazaleti sijui inaitwaje
,time inaitwa
Ommy ni msaniii mkali sema tu ndio hivyo hatoi nyimbo sana siku hizi
Nai nai ilikuwa nyimbo kali sana
Halafu hiyo baadae pia na zingine ulizotaja pia kuna ile tupogo.
Na hii mwaka jana "your the best "..ni bonge moja la zouk..
Uzuri ommy anaweza kuimba nyimbo za genre tofauti tofauti..
Mengine brother Eyce atamalizia
Na mkaachana tuππnaipenda sana ile ndagushima ni kitu matata sana ile pia inanikumbusha pisi yangu moja nayo ilikuwa inauskiliza sana!tukiwa tunapiga sarakas anaiplay bas mzuka unampanda anasokota kiuno hatari!!
ooohhh ndagushimaaaa
sure brother mimi napigia mstari tu.umeshamaliza kila kitu mkuu π
Ommy ndio msanii aliekuwa akitoa hit song, watu wanaona kama hatoweza kutoa kali zaidi lakini bado akafanya maajabu
kutoka kwenye nai nai, baadae, Me and You hadi tupogo OG. Alikuwa untouchable next to platnumz
Ila navyoona jamaa si kwamba ana kipaji kikubwa sana kisanaa ila ana kichwa cha kutoa hit songs kitu ambacho ni muhimu zaidi katika mafanikio ya msanii kwenye "numbers"
acha mkuu mapenzi ya siku hizi km kutema bigjii kwa karanga za kuonjeshwaNa mkaachana tuππ
Hatari sana! Ila yote maisha tu mkuuacha mkuu mapenzi ya siku hizi km kutema bigjii kwa karanga za kuonjeshwa
"Chukua time"Naitafuta sana ile nyimbo alipiga na Suma mnazaleti sijui inaitwaje.