Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
Muda wa wakongwe wa bongo flava kuacha game au kuzidi kupata stress unazidi kuwadia!!nimebahatika kukiona kichupa kipya cha ommy dimpoz kilichofinga south africa na adam juma wa visual lab!ni zaidi ya msiba!kichupa kimesimama balaa nakitabiria kukimbiza sana runigani ni next level kiukweli